Origin: Unknown
Use: 1. Huyo mbois hajui kuspin! = That guy doesn't know how to drive 2. Mtasis wa mi ni mnoma kwa ku spin ma pochas! = My sister is good at making chapatis
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ speen ]
Relate: Paisha
Variations: -,
History: From English "take for a spin"
No replies yet. Start the conversation.
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?