Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.