Origin: Unknown
Use: Manzi yako ni shipwepwe! = Your girlfriend is huge/ugly
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ shee-pu-we-pu-we ]
Variations: -,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma