Origin: Unknown
Use: Si uta sakanya ngovo ndio ukam? = You'll have to find five shillings then is when you can come
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Sa-ka-nya ]
Relate: Tero
Variations: -,
History: From Swahili Sakanya or Saka
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.