nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
chuo yenu ni farthest by the time unafika ni 2nd term!