Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1