Origin: CBD
Use: Uskii keja ya mine leo ni riparian land, yengs ame waka moto = My house is a no-go-zone today, my girlfriend is mad with me
Period: 2017 - 2018
Synonyms: None
Pronounciation: (Noun) [ re-pa-ree-an land ]
Relate: Places
History: Came into common use during the government's move to demolish structures that were built on Nairobi River's riparian reserves
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus