Search
Origin: -
Use: Kesho mkuje na rieng juu hawa madame wako = Tomorrow, show up better organized coz these girls are here
Period: 2014 - 2016
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ re-yeng ]
Relate: Human relations
No replies yet. Start the conversation.
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack