Origin: Uknown
Use: Nikiskiza tenje lazima niwe ridho. = When i listen the radio i have to be active.
Period: Early 80's
Pronounciation: (Verb) [ Ree-dhoo ]
Relate: Mongo,Brain
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni msupa tu sana
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂