Origin: -
Use: Naenda rave leo jioni. = I will be going to a party today evening.
Period: Unknown
Synonyms: Dunda
Pronounciation: (Verb) [ Ra-ve ]
Relate: Entertainment.
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch