Search
Origin: Unknown
Use: Ukiingia ile baze yetu usijaribu rapash = When you enter our baze dont try to hide a 250ml bottle of local brew.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ra-pa-sh ]
No replies yet. Start the conversation.
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Maskio kama mlango ya probox
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu