Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass