Origin: -
Use: Leo hatuna prako juu ya mvua = There's no practice today due to the rain
Period: Early 70's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Pra-ko ]
Relate: Sports
No replies yet. Start the conversation.
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus