Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakupea ya green ukasema nope ile imeiva