Origin: Unknown
Use: Pero wa Anto waliboti ndae = Antony's parents bought a car
Period: Unknown
Synonyms: Paro
Pronounciation: (Noun) [ Peh-roh ]
Relate: Buda Madha Mdhama.Bazenga Grandy Mnyanye Mokoro
History: Derived from the english word PARENT
No replies yet. Start the conversation.
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja