Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka