Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta