Origin: Unknown
Use: Esto yondhe ime kacha ocha juu ya orismo = The whole estate has left for up-country for Christmas
Period: Early 70's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ o-rees-mo ]
Relate: Krisi
History: Typical Luo flavor of sheng where the prefix "O" is common. The rismo is from Christmas
No replies yet. Start the conversation.
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.