Origin: Odhumo unlisted
Use: Onyash akona gari ya green = Onyango has a green car
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Oh-nya-ash ]
History: Derived from the LUO community
No replies yet. Start the conversation.
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu