Origin: Unknown
Use: Hizo nyong'inyo zako zina tepa = Your socks are smelling
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Nyoh-ng'ee-nyoh ]
History: Derived from the english word 'SOCKS'
No replies yet. Start the conversation.
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
Asubuhi asubuhi harufu ya gumboot na BIG G
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya