Origin: Unknown
Use: Sonko wa mine si nyeu ... ni mlami = My boss is not black, he is white.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ nye-oo ]
Relate: Miro
Variations: -,
History: From Kikuyu word "nyeuthi" which means black... the word is actually derived from Swahili's "nyeusi".
No replies yet. Start the conversation.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle