Origin: Unknown
Use: Zile doo zilirushwa nyara zili taruka = The money that was thrown for people to grab were torne
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Nya-ra ]
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.