Origin: Unknown
Use: Niliona mgodi akienda ku nyafura kibenje ya mdhama. = I saw a thief going to steal going to steal a woman's handbag.
Period: Early 2000
Synonyms: Gondi, Dingo, Thanya, Dhanya, Sanya
Pronounciation: (Verb) [ Nyah-foo-rah ]
Relate: Crime
History: Derived from the swahili word ''Nyang'anywa'' meaning ripoff.
No replies yet. Start the conversation.
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.