Origin: Unknown
Use: Niko mtaani naskiza ngoma = I am at home listening to the music
Period: Unknown
Synonyms: Debe
Pronounciation: (Verb) [ Ngo-ma ]
Relate: Hare Msani Ndishken Mic Spinje shillingi
History: Derived from the swahili word ''ngoma'' meaning ''drum''
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original