Origin: Unknown
Use: Hakuna kitu ya ng'och kwa supa siku hizi = There's nothing worth ten cents at the store anymore
Period: Mid 80's
Synonyms: Currency
Pronounciation: (Noun) [ ng-oh-ch ]
History: Derived from the word Otongloch which was a corruption of the Luo word Otonglo which meant a ten cent coin
No replies yet. Start the conversation.
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke