Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers