Origin: Unknown
Use: Mimi sikuenda nasa. = I never attended nursery school. Hiyo mat imejazana nasa. = The matatu has a lot of people.
Period: Late 80's
Pronounciation: (Noun) [ nah-sah ]
History: Reverse of the Swahili word SANA
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original