Origin: Unknown
Use: Makarao wali nara wagondi jana usiku = Thieves were caught with cops yesterday night
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Nah-rah ]
Variations: -,
History: Derived from the swahili word ''narwa'' meaning to be ''caught''
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu