naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Kwenu ni kuchafu mpaka mende zenu huvaa slippers
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga