Origin: Ofafa Marish
Use: Napenda daughter wa yule mzangale = I love the old mans daughter
Period: Early 2000
Synonyms: Bazenga Buuda Fathe Mzae Muthabu Mudhabu
Pronounciation: (Noun) [ Mza-nga-leh ]
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet