Origin: -
Use: Alimaliza kumanga aka mwaora = After eating he threw up
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Mwa-oh-rah ]
No replies yet. Start the conversation.
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa