Search
Origin: Unknown
Use: Mulami amepta hapa saa hii = English ma has just passed here right now
Period: Mid 90's
Synonyms: Mngoso
Pronounciation: (Noun) [ Mu-la-mee ]
Relate: Msee Mudhii Kingoso
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua