Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.