Origin: -
Use: Mtasis wa mi ni mnoma kwa kuspin ma pochas! = My sister is good at making chapatis
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mta-sis ]
History: - Reverse modified version of msista
No replies yet. Start the conversation.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Budako huhepa job ku-slide na socks
We ni mnono hadi ukikunywa novida huwezi get lifted!
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen