ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo