Origin: -
Use: Nili yebi mudhii mjanamo kwa rotejo = I saw only one person at the bus stop
Period: Late 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mja-na-mo ]
Relate: Mbee Tuta Nei Kobole Kinde
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.