We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute