Search
Origin: Unknown
Use: Ile hao ni ya akina ule mdiki = That house is that kid place
Period: Mid 90's
Synonyms: Mujuniour Muniaju Mkidi Mtoi
Pronounciation: (Noun) [ Mdee-kee ]
No replies yet. Start the conversation.
Mathako mnono akikalia kobole Moi hutoa makamasi
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1