Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.