Origin: Ofafa Marish
Use: Baada ya kupata mkwanja misismi niliskia mbulai = After getting cash i felt nice
Period: 2010 - 2013
Pronounciation: (Verb) [ Mboo-la-ee ]
No replies yet. Start the conversation.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen
Ati wewe mweusi tu sana mpaka hauna bright ideas.
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂