Origin: -
Use: Mbotch wetu ame dungwa ball na chogi wenu = Our house help has been impregnated by your watchman
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mbo-och ]
History: Mboch unknown
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”