Origin: -
Use: Ronaldo alitoa move moja maua jo! = Ronaldo pulled a beautiful move!
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ma-u-wa ]
History: - From Swahili word "Maua" which means flower. A flower is beautiful
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Maskio kama mlango ya probox
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma