ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.