Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk