Origin: -
Use: Nangoja hizi njumu zi mapronye ni booti zingine = I am waiting for this shoes to get finished so that i can buy another one.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Maa-proo-nyeh ]
History: - -
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen