Origin: -
Use: Hii mat haina mangoko = This matatu doesn't have beautiful girls
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ma-ngo-ko ]
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo