First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka