Origin: -
Use: Ule nyerere ana makurenje zime shona = That lady has strong legs.
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ma-ku-re-nje ]
History: - Derived from 'Luhya' community
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..