Origin: -
Use: Ndio hio mahindra inatokea = The police truck is coming
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mah-hee-nd-rah ]
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus