Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow "Good evening?"